Recent content by mama fulani

  1. M

    Riziki Daudi ajifungua watoto wanne

    Mungu ni mkubwa saana hongera zake japo nilisikia kwenye radio moja jana mmoja amefariki wanebaki watatu. Mungu akukuzie Inshallah hao waliobaki waje wakufae baadae.
  2. M

    Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Mimi niliugua mwaka jana nilikua nina mtoto mchanga wa miezi miwili nilizipata chuo kuna dada alikua anaugua na tulikua kipindi cha mitihani akashindwa kuahirisha. Niliteseka saana maana zilinitoka mwili mzima hadi kwenye chuchu nilikua nasikitika kumnyonyesha mwanangu. Tulikua nyumba nzima na...
  3. M

    Mwanangu ananyonya sana!

    jitahidi sana kula vzuri wewe mwenyewe maziwa yatatoka tu hapo bado hayajachanganya vzuri kutoka kma unaweza kunyonyesha huna tatizo lolote la kiafya nakusha uri umnyonyeshe tu mwanao maziwa ya mama ni bora kuliko kitu chochote achana na uji wa muhogo na vitu vingine nyonyesha na ule vzuri...
  4. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mpango mzima sio kugegedana mpango mzima ni kuepuka michepuko na kubaki njia kuu
  5. M

    Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

    pole sana mamie binadamu tumeumbwa na maumbile tofauti ila naomba kuuliza kwa hyo wewe hujawahi kufika kilele cha maraha au ni ashk tu ndo huna utamu unapata kma kawaida?
  6. M

    Kuelekea April 1, tuambie ulivyowahi kudanganywa katika Siku ya Wajinga

    nakumbuka kama miaka mitatu hivi imepita nilikua nasoma chuo dada mmoja alikua rafiki yangu akanipigia simu kwamba kapata shida kubwa akaniagiza vitu fulani hivi ambavyo vilikua nyumbani nilikua nimeshafika tazara ilibidi nigeuze gari kurudi ukonga nikamchukulia nafika chuo wenzangu wanafanya...
  7. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    MWISHO wa huu mchezo ndio leo na mshindi ni mimi oyeee.
  8. M

    Mtoto kupungua damu

    Habari za mida hii wadau? mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miezi kumi na moja sasa. Mwanangu alipofika miezi miwili nilimuanzisha maziwa ya ng'ombe ndipo shida ilipoanza alikua anapata homa kali nilipompeleka hospitali baada ya vipimo ikagundulika damu na madini chuma yamepungua nakumbuka alikua...
  9. M

    Majina na Tabia zake

    yaani hapo kwa ASHA ukweli mtupu
  10. M

    Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili

    duuh sikuwahi kuhisi kama kunyony a kidole kuna uhusiano na uwezo wa akili wa mtu mi mtoto wangu ana miezi kumi hajawahi nyonya kidole ila cku za hivi karibuni ameanza tabia akiona chakula juice au maji anaingiza kidole mdomoni anatoa kma mtu anae onja kitu ukishampa anachotaka basi harudi tena.
  11. M

    Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    Ninavojua hapa Tanzania huo utaalam wa kufuta tattoo bado ila Nairobi inawezekana ninae ndugu yangu ni mchoraji wa tattoo anawashauri watu wanaotaka kufuta kwenda Nairobi ngoja nitamuuliza kma unaufahamu juu ya hao wafutsji huko Nairobi
  12. M

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    asanteni ndugu zangu Qute cherry na Dinazarde kwa majibu nilipata wasiwasi nikahisi labda nitakuwa na tatizo.asanteni sana
  13. M

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Habari zenu wakuu. mimi ni mama ninaye nyonyesha mtoto wa miezi kumi sasa. nilianza kupata cku zangu mtoto alipokuwa na miezi miwili ila nimeshangaa ghafla mwezi huu cjapata cku zangu na si mjamzito.Niliugua typhoid mpaka sasa nipo kwenye dozi ya typhoid inaweza kuwa sababu? asanteni
  14. M

    Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Habari za mida hii wakuu! ndugu zangu naugua tetekuwanga kwa siku ya pili leo nimeenda hospital nimepewa dawa ya vidonge ambayo ni AMPICLOX na ya kuogea POTASIUM PEMANGANET zinanisaidia kiasi fulani maana muasho umepungua japo vipele vinaongezeka. Sasa tatizo ninasikia zinaambukiza haraka sana...
Back
Top Bottom