Recent content by Mama Confidence

  1. M

    Mwanamke anaweza kufika kileleni mara tatu mfululizo!!

    Kila mtu ana g spot yake mahali pake kama alivyosema mkuu mmoja huko juu haiko specific kuwa iko sehemu moja mwingine nje...mwingine ndani kabisaa mwingine pembeni...mwingine kwenye kuta. Am woman So ukiona hataki ujue her g spot iko huko anakotaka dushe iende usimlazimishe ukuona anakubali...
  2. M

    Ni sawa kwa mwanamke/msichana kuchangia mahari ya mumewe mtarajiwa?

    Ni sawa tu....kma mwanaume anakupenda kwelii hata kumsaidia ukalipa yote hata sio shida Kimbembe kinakuja kwa mtu muongo muongo....hana upendo wowote ila anataka kuoa tu kwasababu zake maaana duh.....lako laja
  3. M

    Tuwasaidie kukuza kipaji na uwezo hawa watu

    Process za kumpeleka kule ni zipi?
  4. M

    Tuwasaidie kukuza kipaji na uwezo hawa watu

    Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali 1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila hawezi kutunga wimbo + melody yake 2. Anauliza ni jinsi gani anaweza kuendesha event ana uwezo wa kucreate...
  5. M

    Tuwasaidie kukuza kipaji na uwezo hawa watu

    Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali 1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila hawezi kutunga wimbo + melody yake 2. Anauliza ni jinsi gani anaweza kuendesha event ana uwezo wa...
  6. M

    Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    Nimependaa sna jibu hili
  7. M

    Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaaaa Ni sawa mamy Hata ss hatuangalii hilo km ndo first priority ila ikiwepo nafurah zaid
  8. M

    Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaaaa watu mna maneno
  9. M

    Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    Tang'ana nahis ushapata majibu Usije sumbua teena Na bado mengine yaja
  10. M

    Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    Na km baba ana sauti km ya mama hiv unategemea nani atauwa baba
  11. M

    Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    Kimachowafanya nyie kupenda za kwetu zilivo nyororo ndo kinachotufanya na ss kupenda hizo zetu zenye bass n we feel comfortable kwa hilo
  12. M

    Nini dawa ya Psychological torture?

    Nimecheka kwa nguvu khaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] miss natafuta buana
Back
Top Bottom