Recent content by Mama Carol

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa tayari kuingia kwenye Ujasiriamali, Fanya vitu hivi vitano

    Mungu akubariki kaka kwa kutufunza mambo muhimu na mazuri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wajasiriamali na wafugaji

    kuku ni wazuri sana, nimewatamani. nitawatafuta maana mimi pia naishi sakina kiranyi. haufiki ofisi ya kijiji au unapita?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hao kuku chingwengwe wakoje? yaani maumbo yao na wanapatikana wapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Chasha hawa vifaranga wa kenbro na kari naweza kuwapataje? Ninahitaji.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya mayai viza?

    kama ni kwaajili ya kurogea kama mimi nisingempa aiseee. mimi huwa nayatupa fasta.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    habarini za mida, jaman mwenzenu mbona nashindwa kufungua private messages? yaan kwakweli mimi ni mgeni kabisa humu, so bado sijaelewa vizuri jinsi ya kuitumia hii jamiiforum. naona kabisa nina msg private, ila nahangaika jinsi ya kuifungua nashindwa, msinicheke jamani love u all, mama carol
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    natamani cku moja kila mmoja atoe historia au aelezee jinsi anavyopambana na ufugaji wa kuku maana itakuwa inamfundisha na kumpa changamoto mwingine, yaan mfano nilianza na kuku kadhaaa, sasa nina kuku kadhaa, na nimepitia changamoto kadhaaa, yaan kama kubota alivyotoa mauzoefu yake. Asanteni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante Zipuwawa, yaani nilikua nikijaribu siku nyingi kujoin nikawa nashindwa sasa nimeweza nimejisikia raha sana, maana nitakua na share na wafugaji wenzangu, Zipuwawa uko pande zipi wewe? mimi niko arusha.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    habari zenu wana jamii forums, ivi ugonjwa wa ndui kuku anakuwa anaharisha nyeupe? au nao ni ugonjwa mwingine tena? huo wa kuharisha nyeupe kama njano mpauko. asanteni,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana Kubota.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    habari zenu wana jamii forum, nimesoma kwa makini sana makala ya ufugaji kuku wa kienyeji nimependa sana, nimependa jinsi watu wanavyotoa maujuzi katika kufuga kuku, nimewapenda bure. mubarikiwe mama Carol
Back
Top Bottom