Recent content by Mama 1

  1. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Jua linavowaka halafu hata kibarua hakuna ,na Bado nna wategemezi msiombe jamani
  2. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Wana jf Mwenye kibarua popote Moshi naombeni.
  3. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Bado naendelea kuwasubiri shadeeya
  4. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Nashukuru Sana space 2026
  5. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Mwenye kibarua chochote Naomba jamani, hali sio nzuri
  6. M

  7. M

    Sina ujuzi wowote, nahitaji kibarua chochote
  8. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Nipo Himo , nahitaji kibarua sehemu yoyote Moshi
  9. M

    JamiiForums Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

    Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo. Nimekata sana tamaa ya Maisha. Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na...
Back
Top Bottom