Recent content by maluma3

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

    Inaonekana wewe huko kwenu munapenda sana kuvaa nguo za uchi maana haujui kama dela ni vazi la HESHIMA fikiri na tafakari vizuri kabla haujatoa mapovu yako humu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana

    Nafikiri Simon ulichokiandika ni mapenzi yako na si hali halisi wala ukweli kwani ungeujua ukweli na kama ungekuwa mkweli list yako ya MABEBERU ingekuwa ndefu hadi ndani ya serikali ambayo hata rais wetu anania ya kuwatumbua ila ulichoandika wewe ni ubinafsi wako tu NAZANI FIKRA ZAKO NI KAMA...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wagogo

    Kwa wakati tulionao ni ngumu kujua tabia ya kabila fulani kwa sababu tayari tumeshasogezwa karibu kwa kila kabila kutokana na kupanuka kwa mwasiliano
  4. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu ndiyo mwizi wa viatu MISIKITINI?

    Hatari kubwa
Back
Top Bottom