Hii ndoto inategemea ulikuwa unaokota pesa za aina gani, noti au sarafu, au pesa za kigeni, .ukiota unaokota au unapewa au unaokota pesa za kigeni zenye thamani au noti, wewe utafanikiwa Sana maisha I kwako but ukiota unaokota coin au unapewa ni roho ya umaskini inakufatilia.
Mkuu omba Sana , yaan katika ulimwengu wa roho Kuna vita inaendelea kazini kwako, so yakupasa uombe Sana uvunje hizo roho zinazofanyanvita na wewe. Ofisini kwako Kuna watu wanataka ufukuzwe , Ili wakalie nafasi yako so usipoomba itakuwa kweli, hivyo kazana kuomba.
Unakuwa unepunguza kuwa karibu na Mungu, maana Mungu anasema na watu kupitia ndoto, ukiona huoti, ombea malango yako ya ndoto, ufahamu wako,zidisha ukaribu na Mungu
Nakuelrwa Sana mtoa mada Mimi tibaijuka alinishikilia yangu first year
Kuu nakuelewa Sana Uzi wako, Sina hamu na saut, nilishikilowa na mhadhir somontangu first year Hadi third year nannikashindwa kugraduate kisa nimemkataa
Sister angu nilimshauri Sana Hawa watu MATAPELI, alliance hao, akanambia yaan ww siku ukiniona nimefanikiwa ndo utaamin, akapeleka laki Tano za kuniunga nikaona karudi na fuko limejaa madawa😂.
Kazi ikawa kwake kuzitembeza na kuziuza kwa watu Ili arudishe pesa yake na faida.
Hadi Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.