Recent content by MALOKE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Janga lingine sekta ya Elimu: Walimu wafeli Mtihani

    Mbona wamefaulu hawa,mnakumbuka sifa za kusomea diploma ya ualimu si principal 2 kama zamani siku hizi principle moja na subsiary.sasa kama ndo hivyo mnataka wafaulu kwa kiwango gani zaidi ya sifa walizoingilia vyuoni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania mkutano kata ya wananchi wa magamba na wawekezaji wa bauxite umekwisha

    wawekezaji waliotaka kuwekeza ktk mradi wa uchimbaji madini ya bauxite wameondoka huku wakizomewa na wananchi waliofurika kwa wingi kwenye mkutano.
  3. M

    JamiiForums Tanzania mkutano kati ya wananchi wa magamba na wawekezaji wa madini ya bauxite

    wananchi kwa pamoja wameukataa mradi wa uchimbaji wa bauxite wakisema hauna faida kwao na kuwa wamejifunza kutokana na athari walizopata watu wa maeneo mengine kama nyamongo nk.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Tupia humu jg7068@gmail.com
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Jamaa kaomba msaada aweke waraka WA mishahara jamvini,mmempa e mail zenu kasema kawatumia.mbona mlotumiwa hamuuweki jamvini sote tuuone??.au ni siri?.basi kama siri nami nitumieni kupitia (jg7068@gmail.com)
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo aendelea kuiteka Kagera kwa sera za M4C

    Uhuru wa pili umekaribia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yakopa sh. bil. 160 kukwepa mgawo wa umeme

    tushachoka kusema,hata wakiamua ss wananhi ndo tuwe dhamana ya mkopo wao sawa.
Back
Top Bottom