Recent content by MALISA92

  1. MALISA92

    Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021

    Hapa ndio pakujifunza umuhimu wa kuwa na Apps zetu wenyewe (Watanzania) ambapo kama tungekuwa wazalendo tunge support developers wa hapa Tz ili wakitoa app ya social media kama insta na Fb tuzitumie za kwetu zaidi na tuwe addicted na za kwetu zaidi ya za nje...China wana apps zao na hadi search...
  2. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Battery inakaa na charge masaa mnne.. (4 hours) ikiwa katika matumizi..kama hujaitumia muda mwingi itakaa na charge masaa 12
  3. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Router Bado ipo wadau
  4. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Hii sio router kubwa ambapo itahitaji kufungwa na kufanyiwa configurations..ni kama simu tu inakaa hata mfukoni..na inachajiwa kama simu ni kuweka line tu na kuiwasha basi..ili kuconnect na devices zako unaenda sehem ya wifi then utaona jina la hii router then utaconnect kwa kuweka password yake...
  5. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Huyo karopoka tu bila kuelewa hata mada kuu..Router ninayo uza ni ya universal inayo ingiza line..hivyo mtu ukiwa nayo unaweka line ya mtandao wowote kisha unajiunga vifurushi vya internet vya kawaida kulinga na uwezo wako baasi..hizo stori za kulipia 450k kwa mwezi ni uongoo
  6. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Router bado ipo
  7. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Boss ongeza 10 tu nikupatie
  8. MALISA92

    INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Jipatie Huawei MiFi router original ya 4G inayotumia line za mitandao yote Tanzania kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 120,000/= Tuwasiliane kwa number 0753 12 14 04 au 0658 02 03 61 kwa maongezi zaidi. Picha zake hizi hapa.
  9. MALISA92

    Computer4Sale Hp monitor 22 inch inauzwa

    Bei ni laki 1 na 50 tu
  10. MALISA92

    Computer4Sale Hp monitor 22 inch inauzwa

    Monitor nzuri kabisa..ni wide screen inapatikana Ubungo Dar es salaam..kwa uliye Dar es salaam nakuletea ulipo.. Mawasiliano ni 0658 02 03 61 au 0753 12 14 04..
  11. MALISA92

    INAUZWA Kiti cha chuma (Chekecheke) kina hitajika

    Nakihitaji hichi kiti wakuu
  12. MALISA92

    INAUZWA Kiti cha chuma (Chekecheke) kina hitajika

    Habarini waheshimiwa? Nina uhitaji wa kiti cha chuma cha cheke cheke au kwa jina lingine ni CUSTOMER WAITING CHAIR.. Kwa ambaye anacho cha used au kipya tuwasiliane kwa number 0753121404 (Whatsapp) au 0658 020361. Najua kiti hichi kinapatikana Town kwenye maduka mbali mbali ila nina budget ya...
  13. MALISA92

    Watalamu Wa Computer mko wap¿

    Mzee kuna laki 1 hapa haina kazi kama inawezakana njoo ichukue,, alafu nikatengeneze hicho kioo mwenyewe
  14. MALISA92

    Msaada Wakuu. Asus Imekatika wire wa kuoeleka moto kwenye Screan.

    Ukishindwa Hapana Mheshimiwa..nina deal na Computer tuu (Desktop & laptop katika pande zote za Hard ware na Software)
Back
Top Bottom