Recent content by malinda

  1. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    CDK(CHADEMA KASKAZINI) Ndio munaoharibu chama,hawa PM 7 Wamechoka kubuluzwa,Mpambano uendelee CDK VS PM 7.
  2. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    lini Zitto amekuambia ana vijana wake na uwa anawatuma Jf?musiamishe mjadala kwa Zitto,SLAA jibu tuhuma.
  3. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    akili yako ndogo sana..Slaa njoo ujibu hoja,vijana wako wameshindwa wanaweweseka tu na Zitto.
  4. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Slaa alichukuwa mke wa Tunteneke na kamera za Tunteneke haziwezi kumuacha kwa ufisadi wake.
  5. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    nawe upo,njaa yako sio kali? Nyie CDK(chadema kaskazini) hamuwezi bila ya hao munaowaita PM 7. PM 7 kama mupo komaeni nyie mupo kitaifa zaidi.
  6. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Dah,kuna watu wanaakili ndogo,yaani Slaa ni mtu makini?kweli huu ni mwisho wa dunia,Mtu makini anauza majimbo ya wabunge na kutimua timua viongozi kwa majungu.
  7. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    mbona unatokwa na povu jomba,kama hajui kuandika mbona wewe umesoma na umeelewa,hongera Tunteneke.Slaa aje kukana kama uongo.
  8. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    CDK- Chadema Kaskazini,jibuni hoja,sio kutaja majina ya watu wasio husika hapa,Mungu akubariki Tunteneke uendelee kuishi.
  9. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Tunteneke,umeongea ukweli,DR slaa ni fisadi kama ccm wenzake,na yule mchumba wake ndio anamchanganya kabisa,Namshauri mchumba wa Slaa asome alama za wakati,anamuharibu slaa na sasa slaa hafai kabisa.
  10. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Hakuna hoja ya kumchafua zitto zaidi ya hoja nyepesi,sijui mnafiki,sijui mshirikina,sijui,pm 7,hamna hoja naona ni vioja tu hapa.Songa mbele zitto.wewe ni jembe hashwa.
  11. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    kweli mumeishiwa hoja chadema kaskazini
  12. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Wewe wa sema,vip nasikia kuna watu wanaandamana muda huu,kudai slaa arudishe kadi moja.Chadema kaskazini lazima mukae.
  13. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    bora kwa lipi? kama kwa kuibua hoja nzito za kitaifa na zenyekuleta matokeo,sijaonaga zaid ya kabwe zitto,subirini bunge la mwezi wa kwanza,munacheza na zitto nyie ile ni habari nyingine,Angalia bunge lililopita,hoja kama ya mkonge,kutokuwa na imani na waziri mkuu,na hii ya mabillioni ya...
  14. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    kumbe hao ndio waliowatuma muje kumchafua zitto,sasa waambieni hamuwezi,walishindwa watu
  15. M

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    hauwezi kupinga ukweli hata ufanye nini zitto atabaki kuwa zitto.
Back
Top Bottom