Naona wazi elimu uliyo nayo hajakusaidia ,Utalipiaje tangazo wakati mteja hausiki na tangazo bali huduma inayotolewa.
Inaonesha huna hoja ya kuongea,Kama msomi nakuona hata kwenye kujibu maswali ya Interview huwezi that unaishi kwa kulaumu watu na jamii kwaujumla .
Unastahili uanze kujilaum...
Ndugu unaonesha unachuki tu ila ukweli utabaki kuhusu huduma njema wanayo toa,Mtu kama anaitaji tambua ukweli atawatembelea na ataweza hakikisha ukweli upo wapi.
Tatizo wabongo wanapenda ushabiki na story za kwenye kahawa,Kama msomi ni mtu anaishi kwa fact na hoja pia research sio ushabiki tu...
Kwanza kabisa namshukuru mwenyenzi Mungu na then na washukuru Job Junction Tanzania kwa mafunzo ya interviewees skills na huduma zao wanazo toa.
Mm kabla sijawatembelea Job Junction Tanzania ofisin kwao,Nilikuwa nafanya applications nyingi sana bila kuitwa kwajili interview .Sikujua kwann...
Mm ni moja wa watu walio pata kazi kupitia Job Junction Tanzania,Na hayo mabaya wanayo yazungumza kuhusu Job Junction,Mm sijayaona maana Kwanza wako open saana.
Na huduma unaipata kwa wakati as agreement,Wengi wanao wazungumzia vibaya wanachuki binafsi tu Ndio maana wengi wao naona wanatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.