Recent content by Malima Chacha

  1. Malima Chacha

    Viongozi wa Juu wa CHADEMA Waanza ziara ya Kikazi Barani Ulaya

    Mambo ya kutembeza bakuli na mfweza fweza ya uchaguzi mwakani
  2. Malima Chacha

    Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

    Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kaongeza pesa ya kujikimu(BOOM) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka 8,500 kwa siku mpaka kufikia 10,000/= kwa siku, Hii ni tofauti kabisaa na ilivyozoeleka miaka ya huko nyuma tangu 1990+ mikopo hii ilipoanza kutolewa, Ongezeko la pesa hii limekuwa likifanyika baada...
  3. Malima Chacha

    Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa ufupi kabisa :- "Alisoma Loleza na Zanaki girls kisha akaenda UDSM kusoma Sheria. Akiwa na miaka 30 tu akapata PhD ya Masuala ya sheria toka Cape Town University. Jakaya akamteua kuwa naibu mwanasheria mkuu wa Serikali, Magufuli akamteua kuwa Mbunge na akawa Naibu Spika. Huyu ni Dkt Tulia...
  4. Malima Chacha

    Mjadala wa mila na desturi za kiafrika uwekwe mezani

    Afrika na Tanzania kiujumla tumekuwa na mvutano na mitazamo tofauti hasa pale inapotokea mjadala wa kusimamia MAADILI, Kumekuwa na makundi mawili makubwa yanayoibuka pale ambapo rungu la kuadhibiwa kwa uvunjifu wa ZINAZOITWA MILA NA DESTURI ZA KIAFRIKA linapowakuta washukiwa Kundi la...
  5. Malima Chacha

    UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi na Mkuu wa Serikali Mtandao

    Unamzungumzia Benedict Ndomba au Mndolwa??? Liweke vizuri hili.....!
  6. Malima Chacha

    Vodacom wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu

    Tabia mbovu saaana hii wanafanya..! Wanapaswa kukata deni lao halafu inayobaki waiache MPESA, kitendo cha kuileta kwenye muda wa maongezi sio sahihi
  7. Malima Chacha

    Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

    Yaani atoke uRais wa JMT aende Zanzibar 2025??.. kwanini usiwaze kwamba atapewa mitano Tena 2025-2030
  8. Malima Chacha

    Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

    Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema Kumeibuka kundi la watanzania wakipinga suala hilo. Binafsi ningependa kuwaambia...
Back
Top Bottom