Recent content by malila88

  1. M

    GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Miye nilikuwepo uwanjan samola sijaona umakin Wa magufuli maana anazungumzia is hu ya national milling atairudisha na kuifufua hapo hapo anamshika mfanya biashara maarufu hapa mjin kwamba n msafi wakat madudu yake tunayajua na Hawa ndio wamegeuza national miling kuwa store ya bidhaaa zao aende...
  2. M

    tofaut kat ya biashara na siasa zielewke startv

    Yaan nimeona mpka nikasema nchii hii bwanaa
  3. M

    Magufuli mlima ni mkubwa utakufa siku si zako

    Miye s shabiki Wa chama chochote lakn ukweli unaujua ukiangali hata maandaliz tu ya jukwaa lilivyokaa mpangilio wake ni to faut na CCM hay a sasa ukienda kwenye t shirt ndio kabsa,ukiangalia baners ,stickers,madila na mengin hata njia z kupita viongoz,viti vya wabungee vilipangwa vizuri Sana...
  4. M

    Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    Na Yale malori kuna dereva mmoja anamaind hamjamlipa fedha zake zote aisee jaman fan yen haraka alafu waale watu mliowabeba Moro wanasema inakuwajee mbna hamjawapa buku tano tano za kunywea maji njiani
  5. M

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Kabsa bro nakuunga mkono hoja yaan hapa n Mwendo Wa shida Kwa mtanzania Wa kawaida kila MTU anatumika kisiasa tu this is too much
  6. M

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Pole pole nilikuheshimu kweli Kwa hili LA Leo blaza umeshafeli kabsa kuwa mwanaharakati katika nchi yetu na wewe n wale wale tu yaan nimegundua tatzo LA nchi s MTU Bali mfumo mzima umeoza kbsaaaa
  7. M

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Miye nimengalia kipind hiki nimegundua kwamba Tanzania hakuna mwanaharakat wala hatuna wanasiasa wenye hoja z kitaifa wote wanajali matumbo yao tu .Yaan pole pole anaongea na anaonyesha dhahiri kanunuliwa kabsa na Mchungaji msigwa anamsafisha sna lowasa though hapa hakuna malaika wote sisi...
  8. M

    Kwa huu mkorogo uliotokea UKAWA ni bora kila chama kingesimama kivyake...

    Huyu anastahili kuhitimishwa kwa mud aende afikirie na upya aisee maana akili za usingiz hz shida
  9. M

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Miye sijaja humu ndani kubishana na wewe ambae unahis unaa akili kubwa kuliko MTU yeyote na suala LA kujua kuandika miye sijasoma we mwenzangu ndio umesoma hongera sana .kwann yote hay a yamefanyika kipindi hiki cha msigwa hata Kama hakafanya kazi maana yake ni ufuatiliaji na ndio kaz yake ya...
  10. M

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Mjye ni mzaliwa Wa iringa na nimesoma iringa Kwa hyo naijua iringa Kwa mud a mrefu sasa kingine so cha kujisifu nimeanza kushiriki siasa enzi za mrema manna mzee wangu alikuwa karibu naye kweli.Kwa hyo naongea nikiwa natafakuri kubwa Sana huwez sema mwakalebela atashinda iringa mjini hyo n ndoto...
Back
Top Bottom