Yaani siku hizi watu tunatoa kodi kubwa makanisani kuliko hata serikalin. halafu mafundisho yote ni kuhusu utoaji tu pamoja na kumtunza mchungajii/padre. ilutabiriwa kua siku za mwisho wengi watakua wa kupenda pesa. ukihoji matumizi utaambiwa una pepo. Mtu unaacha jirani hana hata chakula lakini...
Kigoma iko magharibi mwa Malawi lakini Kigoma ipo mbele lisaa limoja kwa muda na tujue kua chanzo cha kua hivi ni kurahisisha utawala katika nchi moja. Rwanda na Burundi zingekua sehemu ya Tanzania kama ilivyokua enzi za ukoloni wa Ujeruman basi nazo pia zingetumia longitudo 45. DRC pamoja na...
Nape sijui akiwa hata na mkewe nyumbani hua anaongeaje! Yaan hana lugha ya staha kabisa muda wote yeye ni mipasho tu. Bora Kinana anajua kuongea japo ni sampuli ile ile. Hata hivyo ulitegemea akiri kua intarahamwe (ccm) inahusika? Ni mhariri gan angeandika utumbo kama huo kwenye gazeti lake...
Poleni sana wafiwa. Ni ajali mbaya nadhani kwa muda mrefu haijatokea kama hii. Halafu maeneo ya Mufindi barabara ina mashimo mengi mazito katikati ya barabara na serikali haichukui jitihada zozote kurekebisha bila kusahau Makambako-Mbeya napo ni mashimo mengi. Jamani tuache kutoa sababu ile ile...
Poleni sana wafiwa. Ni ajali mbaya nadhani kwa muda mrefu haijatokea kama hii. Halafu maeneo ya Mufindi barabara ina mashimo mengi mazito katikati ya barabara na serikali haichukui jitihada zozote kurekebisha bila kusahau Makambako-Mbeya napo ni mashimo mengi.
Poleni sana wafiwa. Ni ajali mbaya nadhani kwa muda mrefu haijatokea kama hii. Halafu maeneo ya Mufindi barabara ina mashimo mengi mazito katikati ya barabara na serikali haichukui jitihada zozote kurekebisha bila kusahau Makambako-Mbeya napo ni mashimo mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.