Recent content by Malikale

  1. Malikale

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye mtaji kati ya 1m hadi 5m hizi ndo biashara nyepesi kufanya, usikariri biashara

    Katika utalii Air BnB ni chaguo la watalii wenye bajeti dongo ambao hupendelea kulala sehemu za bei ya chini. Hakuna Air BnB ya dola 100 Tanzania. Na ndani ya hifadhi zote hakuna Air BnB. Hizi utazikuta mijini tu, gharama zake huwa chini ya dola 30
  2. Malikale

    JamiiForums Tanzania Kama Wewe Nikijana Na Unandoto Zakutoboa Pita Na Hii...!!!

    Mtwara vijijini kumekucha sana huwezi mliza mtu kwa smart watch
  3. Malikale

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Siku zote vitonga havimuachi mtu salama. Hatuwezi jenga ustawi wa jamii yetu kwa kutegemea mfuko wa wahisani ambao kila senti yao wametupangia tuitumie wapi. Binafsi sijaona NGO iliyojikita kwenye kuendeleza Science and Technology. Zilizopo zinajihusisha na vitu vidogo sana kama kugawa neti...
  4. Malikale

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Hata iwe vip mambo aliyoyafanya Mwamba kwa kipindi alichokua madarakani si ya kubeza hata kidogo. Wazee wa deal walikatwa mikia na ndio hao hao wanaolalamika kila siku kuwa mwamba alikua katili. Hakuna maendeleo bila chembe za ukali kwenye utawala. Leo hii malkia anawarembulia jicho wapiga deal...
  5. Malikale

    JamiiForums Tanzania Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Maporomoko haya yanaurefu wa mita ngapi mkuu? maana si kila maporomoko yanaweza kuwa kivutio. Kasi, wingi wa maji na urefu ndivyo huzingatiwa zaidi.
Back
Top Bottom