Recent content by MALIGANYA MALIMBE

  1. M

    Kwanini Kuwe na Ngozi Nyeusi (Africans) na Nyeupe?

    Uzao wa wazungu ulitokana na wana wa Mungu yaani malaika waasi(mafenali) waliofanya uzinzi na wanadamu kwa siri na kutokea uzao huo wa wazungu. Hao mafeneli waliwaaibia baadhi ya siri za Mbinguni na hivyo kuwafanya kuwa utambuzi mwingi.SMungu alimuumba binadamu mwenye rangi nyeusi na siyo...
  2. M

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    KAMA POLISI WENYEWE WAMEKIRI KUMPIGA MTU RISASI,WEWE UNABISHA NINI?.....COZ SIYO NDUGU YAKO NDO MAANA UNASEMA HIVYO.......Kumbuka kuwa siyo watenda dhambi pekee ndo watakwenda motoni,Bali hata wale walionyamaza bila kukemea dhambi ikitendeka nao wataiona jehanamu
  3. M

    Magufuli Damu ya Watanzania wenzako ni mbaya ikimwagika Itakulilia

    JPM asifikiri kuwa kuungama kwa makosa anayoyafanya makusudi MUNGU wa haki atamsamehe!.....Je,HUYO Mtoto angekuwa wake,Angekuwa katika hali gani?....Angekuwa jesca angejisikiaje sasa hivi?.....Kama haya anayatenda wakati wa kwaresma,je nikweli atakuwa rais wa malaika akistaafu?.......NINA AMINI...
  4. M

    Magufuli Damu ya Watanzania wenzako ni mbaya ikimwagika Itakulilia

    Ni vyema JPM akakumbuka maneno ya waraka wa maasakofu-TEC na yale ya kakobe...TUBU..TUBU...TUBU!...Hasa kwa wakati huu wa kwaresma!...Asifikiri kuwa damu na dhambi ya waliouwawa ipo juu ya jeshi la polisi tu,Hapana!.Dhambi hii ipo juu yake coz yeye ndiye aliyeapa kuilinda tanzania na watu...
  5. M

    Uamuzi wa wanasheria wote wa serikali(legal officers) kuwa STATE ATTORNEYS chini ya AG ni uamuzi mzuri sana

    MBONA WAHASEMI KUHUSU MADAKATARI WA SERIKALI WALIYO NA CLINICS ZAO?......UONEVU
  6. M

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Nianze kwa kusema kuwa TAKUKURU IKO WAPI? Mnamo mwaka 1998 TBL Ilianzisha mfuko kwa ajili ya wafanyakazi waliokuwa na shere za TBL ikiitwa Tanzania Breweries Employees Share ownership trust fund. Mfuko huu ulisajiliwa RITA chini ya bodi ya wadhamini, ambaye Mwenyekiti wa bodi alikuwa Arnold...
  7. M

    Maria Sarungi ni nani?

    yeye amebebwa na jina la baba yake kivipi?.......Rudi shule ukasome
  8. M

    Maria Sarungi ni nani?

    uwezo wako wa kufikiri ni kama wa marehemu masaburi
  9. M

    Mtanganyika (Mtanzania bara) anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Katiba inasemaje?

    Mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi,Hussein Mwinyi aligombea ubunge jimbo la mkuranga....then 2000 akagombea jimbo lake la zanzimbar...............Hussein Mwinyi ni mzanzibari kama alivyo salum mwalimu........Hivyo basi,Salum mwalimu anayo haki ya kikatiba na kisheria...
  10. M

    Mgombea ubunge CHADEMA hataweza kujipigia kura?

    mgumu wa kuelewa................kadi ya kura ya zanzibar ya mwaka 2010 hanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  11. M

    Mgombea ubunge CHADEMA hataweza kujipigia kura?

    hivi ccm imekosa mgombea mzuri ambaye ni mfia chama akagombea kinondoni?......
  12. M

    Mgombea ubunge CHADEMA hataweza kujipigia kura?

    Hivi dr.shein alipogombea urais wa zanzibar kwa mara ya kwanza 2010 ,Alikuwa na ID ya zanzibar?.....Ukupata jibu hilo,Utajua ni kwa nini Salum mwalimu anagombea ubunge kinondoni ili hali hana ID ya NEC.......lete hoja nyingine mkuu
  13. M

    Uongozi wa TBL wajilipa fedha za mfuko wa wafanyakazi bila ya idhini ya bodi ya wadhamini wa mfuko huo

    Corpotare afffair director kajilipa zaidi ya milioni 100 ili hali siyo beneficiaries wa mfuko huo....(hana shares za TBL) HR Director Finance Director Company's secretary ,.....................................
  14. M

    Uongozi wa TBL wajilipa fedha za mfuko wa wafanyakazi bila ya idhini ya bodi ya wadhamini wa mfuko huo

    BODI YA MFUKO HUO ULIKUWA CHINI YA BODI UDHAMINI Iliyoongozwa na Arnold Kilewo. Msuya ni mwenyekiti wa bodi ya TBL
  15. M

    Uongozi wa TBL wajilipa fedha za mfuko wa wafanyakazi bila ya idhini ya bodi ya wadhamini wa mfuko huo

    Bodi Uongozi wa TBL,Bila ya kujali kuwa mfuko huo uko chini ya bodi ya udhamini,Waliamua kufoji nyaraka na kuunda bodi bandia ili kujichotea fedha hizo kunyume cha sheria na kujigawia Mithili ya FEDHA ZA MICHANGO ya harusi inavyogawanywa katika kamati zake. NINI MALENGO YA MFUKO HUO: Mfuko huo...
Back
Top Bottom