Recent content by MALIBO RICHARD

  1. M

    Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

    Hata wakionyesha wapi JK alikuwa na mkono wake na alihusika vipi haitawasaidia kitu. Mwenzao amekwisha ukwaa u-Rais. Tayari amekwisha shika Dola na nyenzo zote. Wakileta nyokonyoko, atawashikisha adabu tena kwa njia nyepesi sana, hilo lazima walikumbuke sana. Aliekutangulia huwezi kumshika...
  2. M

    LOWASSA ni tishio

    Lowasa hawezi kuwa Rais wa nchi hii kwasababu hana uwezo wa kuongoza, ni mbinafsi, ni mkabila, ni mbaguzi, ukiongezea ile sifa mbaya zaidi aliyonayo tangu enzi za shuleni,"WIZI".Na hataacha kuiba hadi siku ya mwisho hapa duniani. Sasa imeongezeka sifa jeuri zaidi ya Ufisadi. Lowasa ni Muongo wa...
Back
Top Bottom