Recent content by malembeka18

 1. M

  Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

  Kweli usemalo nshafika kwa awale aisee Bei wanazouza hazikidhi kununua bulk nakwenda uza jumla
 2. M

  Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

  Mkuu 25 kwenye bonds ya 25year itafaa na malipo yake yatakuaje
 3. M

  Zipi faida za kusafirisha Full Container au Loose cargo from China?

  Umeeleza sahihi kabisa nando iko hivohivo mzee ukiwa kwenye vat usifanye mchezo kwenye manunuzi hakikisha manunuzi yako Yana vat ili uweze kui claim vat ktk return zako zakila mwezi
 4. M

  Baada ya kupata stroke kwa zaidi ya miaka 3 mguu umeanza kuvimba, tatizo ni nini?

  Mkuu tuambiane hiyo dawa nasi wazee wetu wanapresha
 5. M

  Nimekutwa na tatizo la presha, msaada tafadhali wa dawa za asili za kutokomeza hii pesha

  Lako likoje mkuu tatizo na presha yako huwa ikoje
 6. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Nilipima ECG na ECHO mwezi wa kwanza Wala sikuwa na shida yoyote na presha ilikua normal 128/80 Ila uzito ndo nimkubwa
 7. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Kupanic huwa napanic Ila situmii kilevi Cha Aina yoyote ile
 8. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Wiki tatu kabla ya kuanza mfungo presha yangu ilikua normal naninavidonda vyatumbo so nimefunga nkiwa na vidonda vya tumbo jevidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kupanda? Pia kuhusu unene sio mnene Sana nna uzito wa 75kg na urefu 164cm so uzito wangu nimkubwa kidogo kulinganisha na...
 9. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Mim mimgonjwa wa vidonda vya tumbo pia nanifunga ramadhani yote Hali navidonda vya tumbo je vidonda vinaweza sababisha presha ya mtu kuongezeka?
 10. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Kabla ya kuanza mfungo wa ramadhani presha yangu ilikua normal pia nna vidonda vya tumbo je mtu akifunga nahali anavidonda vya tumbo je presha yake inaweza ongezeka
 11. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Mkuu pia nna vidonda vya tumbo na ramadhani yote nimefunga nikiwa navidonda vya tumbo je vidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kuongezeka
Top Bottom