Recent content by Maleli J

  1. M

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Tunasali ili, 1. Kumwabudu Mungu 2. Kumshukuru Mungu 3. Kuomba neema na baraka kwa ajili yetu na wenzetu 4. Kuomba Msamaha
  2. M

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre? Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa njia ya Mwanae. Yesu mfufuka aliwaonyesha Mitume alama ya mateso mwilini mwake, “akawavuvia, akawaambia, ‘Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote...
  3. M

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani? Ndiyo: twaweza kupunguza hata kuyamaliza kwa kuwasalia na kuwapatia rehema na hasa kwa kuadhimisha Misa kwa ajili yao. (2Mik 12:38-46)
  4. M

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mbinguni ni makao mema ya heri na furaha (2Kor 5:1, Ufu, 2:17). Waendao mbinguni ni wale wanaokufa katika hali ya neema ya utakaso na urafiki na Mungu na waliotakaswa kikamilifu. Pia Kanisa haliwezi kumpeleka Kanisani kwa Misa ya mazishi maana alikuwa haendi Kanisani na haliwezi kumtupa kama...
  5. M

    Gerald Hando kadorora E-Fm

    Anajielewa sana hakuwa tayari kuutumiakia mfumo tangu wakati wa kampeni mwaka jana alikuwa tofauti na wengine......anajitambua na isitoshe maisha yake yanasonga zaidi ya watu wengine wananvyofikiria......
  6. M

    Mbowe: Rais Magufuli anakumbatia rushwa kuhusu tuhuma za wabunge CCM kuhongwa milioni 10

    Ingekuwa ni vizuri Mbowe apeleke ushadi TAKUKURU na hakiona hakuna ufuatiliji afungue kesi mahakamani ili ushahidi wake upokelewe huko.......
  7. M

    EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

    Nachojua PJ ni msomi .....ilikuwaje akashindwa kutambua masharti ya mkataba wake wa awali akiwa E-FM.....!? Hili ni funzo kwa waajiliwa wengine.....maana 200M kwa wakati huu si mchezo......
Back
Top Bottom