Mkuu nahitaji umeme wa TANESCO...nilipo kuna mradi wa REA na baadhi ya watu wachache wamewashiwa wengine tukaambiwa tusubiri...imepita mda mrefu hatujatumiwa hata ujumbe kwenda kulipia...naweza kulipa TANESCO nipate huduma hii?
shukrani.
Miundombinu yote tayari imeshafika na survey imeshafanyika na baadhi ya watu kuunganishiwa umeme...ninachoomba kujua ni kama naweza kulipa gharama hii ya tsh. 150,000+VAT kupata huduma hii mapema zaidi?
shukrani.
Mchanganuo mzuri kabisa...
naomba kuuliza..je naweza kulipa gharama hii ya REA kuweza kupata huduma hii mapema zaidi bila kumsubiri mkandarasi wa REA? Survey imeshafanyika ila ni mda mrefu sasa waliopata umeme ni wachache sana.
shukrani.
Naomba kujua utaratibu uliotumika kwa watu waliolipia umeme na sasa kuanza kuunganishiwa bila taarifa rasmi kuwafikia wengine.
Kwa sasa baada ya taarifa kusambaa zoezi la malipo limesitishwa hatujui hatma yetu ambao hatukupata taarifa na kulipia.
ahsant.
TANESCO/REA -Kisarawe...tunashkuru kutufikishia huduma ya umeme maeneo ya kati ya Mvuti na Chanika.
Naomba kujua lini mtatuwashia umeme...Kila kitu tayari hadi transformer ila hatujajua lini tutakwenda kulipia na kuwashiwa.
asant.
TANESCO/REA -Kisarawe...tunashkuru kutufikishia huduma ya umeme maeneo ya kati ya Mvuti na Chanika.
Naomba kujua lini mtatuwashia umeme...Kila kitu tayari hadi transformer ila hatujajua lini tutakwenda kulipia na kuwashiwa.
asant.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.