VIWANJA VILIVYOPIMWA/VINA HATI KIGAMBONI VINAUZWA

MwanaMagongo

Member
Aug 15, 2011
74
45
Survered Plots/viwanja vilivyopimwa Kigamboni vinauzwa,
MAHALI; Kigamboni DAR ES SALAAM ZOO. Block DD kuanzia Plot No 88 hadi 498 Japo vimeshauzwa zaidi ya 100
UKUBWA: Tofauti kuanzia sqm 400 hadi ekari 1
BEI: Tsh 13,000 kwa sqm. Pamoja na mchoro(ramani) ya nyumba utakayopenda kujenga)
MALIPO kwa awamu hadi mwaka 1
TUTEMBELEE NBAA MHASIBU HOUSE next to MAKTABA KUU
0715833384
 
unamaanisha mtr 12. kwa 12. hapa utajenga nyumba size gani mkuu..
12 kwa 12 ni 144. Ni sawa pia kuwa na ramani ya vyumba viwili na sebule nk ktk uwanja wa 20 kwa 20 ambayo jumla yake ni 400. Hivyo itabaki 256 kama uwanja utakaofanyia chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom