Recent content by male issa yahaya

  1. male issa yahaya

    Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Hahahhaah asant sema nili reseat mtihan mwaka mmoja hivo sija bahatika kupangiwa shule ya serikal kuendelea je unaweZ nshaur njia ipi inawez nsaidia sasa kurud katka mfumo wa shule za serikal ili kumudu gharama mana gharam za privat zip juu ndy inanifanya niulze vyuo ili wajiminye pesa ila...
  2. male issa yahaya

    Kwa vipi naweza jiunga kidato cha 5 shule za serikal ikiwa nime reseat mtihan na kupata matokeo mazuri?

    Kivipi yan embu nifafanulie kidogo kwa uzuri na naweza pokelewa tu kidizain hiyo
  3. male issa yahaya

    Kwa vipi naweza jiunga kidato cha 5 shule za serikal ikiwa nime reseat mtihan na kupata matokeo mazuri?

    Mimi ni mwanafunz nilie reseat mtihn wa kidat cha 4 mwaka jana nataman kujua ni vipi nawez kuendelea na kidato cha sita kupitia shule ya serikali? Yote wazazi kushindwa gharama za shule za private sasa ni ushaur upi nawez pewa niweze endelea kidat cha sita kwa shule za serikal nina ufaulu wa C4...
  4. male issa yahaya

    Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mm ni mwanafunz nilie maliz form four mwaka juz natak kujua kutokana na ufaulu wangu huu kozi ipi nisomee yenye unafuu wa ajira kupatikan History-C Literature-C English-C Kiswahili-C Civics-D Geography-D. Pamoja na ziada ya Islamic religion-D Naomba majibu ndugu zangu nipate kujua kozi...
  5. male issa yahaya

    Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza form 4 nina matokeo haya history-C english-C literature-C kiswahili-C Geography-D Civics-D na la ziada ni islamic-D je nashauriwa kozi ipi ni nzuri Na rahisi kuajiliwa naomba msaada pls
  6. male issa yahaya

    Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Back
Top Bottom