Ndugu zangu wanajamvi imeninibidi niwajulishe haya ninayoyaona huku kijijini kwangu mwagiligili wilaya ya kwimba, wananchi wanatabasamu lakini wakitokwa machozi mioyoni.
Kilio kinasikika TOZO TOZO, aliyeitwa mama mponya machungu ghafla amegeuka kuwa mama wa kambo anayenyanyasa watoto yatima...