Recent content by Malcolm X3

  1. Malcolm X3

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimehitimu Shahada ya Sayansi na Hisabati

    Habari zenu wakubwa, polen na majukumu. Mimi ni muhitimu kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) nimemaliza shahada (degree) yangu ya kwanza katika ndaki ya sayansi asilia na hisabati (College of natural and mathematical sciences, CNMS) ambapo nimesoma shahada ya baiolojia (Biology). Naomba kwa...
  2. Malcolm X3

    JamiiForums Tanzania Je, GPA ya 3.0 unaweza kusoma masters?

    Mambo vipi wakubwa....naomba kuuliza hiv kupata sponsorship inatakiwa uwe na vigezo gani?....naomben msaada kwa mawazo
Back
Top Bottom