Natafuta kazi, nimehitimu Shahada ya Sayansi na Hisabati

Ahmadi2019

New Member
Dec 29, 2018
2
2
Habari zenu wakubwa, polen na majukumu. Mimi ni muhitimu kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) nimemaliza shahada (degree) yangu ya kwanza katika ndaki ya sayansi asilia na hisabati (College of natural and mathematical sciences, CNMS) ambapo nimesoma shahada ya baiolojia (Biology). Naomba kwa yoyote atakaesoma post hii na kaona wapi nitafaa asisite kunitaarifu ili niweze angalau kupata sehem ya kuingiza kipato japo kidogo.

Kuhusu uzoefu, nimewahi kujitolea Zanzibar Food and Drugs Agency mwaka 2019 kwa muda wa miezi miwili...napia mwaka 2020 kwa muda wa mwezi mmoja nikapewa na certificates.

ZFDA inahusika na uchunguzi wa vyakula na madawa na nilijitolea kama food analyst pia kama Microbiologist. Kwa mawasiliano zaidi 0677405889 call and whatsapp.

Nahitaji msaada napatikana Dodoma, Tanzania
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom