Recent content by malcolm averone

  1. M

    Kua single kuzuri sana

    hii nii kweli...wanawake wana raha yao lakini kama huna mwanamke mwelewa ni adui wa maendeleo.
  2. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    kwa hesabu za haraka haraka nina million kumi kama starting capital and nina eneo bagamoyo plus nataka kufuga fishlings 9000 wa kambare, je hyo pesa itatosha expenses zote mpaka mda wa kuvuna and that is after six months?
Back
Top Bottom