Jana na leo tumeona wawakilishi wa mabalozi haswa kutoka nchi za Marekani , Uingereza na Sweden kwenye mahakama kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi na Ugaidi inayomhusu Mh .Mbowe na wenzake watatu. Je hii inatoa tafsiri gani kwenye nyanja za kidiplomasia?
Tuanze na kuachwa Mwenyewe huo ni uongo viongozi wote wapo kazini Mnyika kila siku yupo mahakamani na leo kamwakilisha kwenye mazishi ya mama mkwe wake Arumeru. Maombi yanaendelea kila siku mikoa yote makanisani na leo Dr. Shoo kanongesha watamwombea kwa Mwenyezi Mungu.
Mh. Lissu yupo kwenye...
Pia Mbowe alikuwepo nchni tangu April hakuwahi kuitwa polisi akakataa kwenda, wamempeleka mahakamani bila wakili wala familia kujulishwa, yeye haoni mhimili mwingine uliomuhukumu? fair ipo wapi mbona anafumba macho?
Mbowe ni mkistro na amebadizwa katika jina la Yesu Kristro anakili imani hiyo kila akienda kanisani jumapili, wakatoliki ni wakristo wamebatizwa katika Kristo Yesu, wote tunatumia kitabu kimoja yaani biblia takatifu, Mungu tunayemwabudu ni mmoja katika utatu mtakatifu Baba, Mwana naoho...
Usilazimishe Mungu unayemjua wewe ndiyo aabudiwe, kwa imani zao wamekwenda kumwabudu Mungu wa kweli na amepokea sadaka zao, yeye hujibu kwa muda na nyakati si kama mwanadamu apendavyo,
Kwanza lazima ujue dhamira njema ipo au ni ghiliba. Kumbuka mtu unayetaka kuzungumza naye alitamka anataka kuliponya taifa,kujenga mshikammano na upendo, akakataa watu kubambikiwa kesi. Iweje leo abadili msimamo wake? Lazima kuwa mwangalifu si kwa kuwa mtu kasema?
Political stability inasaidia sana kwenye uwekezaji.Kumbuka 1998 ubalozi wa Marekani Tanzania ulilipuliwa na magaidi wa Osama, mtanzania mmoja Ghailani alikamatwa, sasa unapotaja gaidi na unashindwa kumpeleka mahakamani kwa sababu za kitoto hauna usafiri wa kumpeleka mahakamani ni utoto, dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.