Recent content by Malakipesa

  1. M

    Msaada wa dawa ya homa ya manjano

    Nashukuru kwa ushauri kiongozi tupo pamoja
  2. M

    Msaada wa dawa ya homa ya manjano

    Sawa mkuu lakin nilivyoenda hospital dk alikuwa akimuuliza kijana kuwa anajisikiaje kijana alikuwa anamjibu kuwa anachoka halafu anapoteza hamu ha kula muda mwingi analala akaniuliza. Mimi kuwa mgonjwa amewahi kuumwa ugonjwa wowote kabla nikamjibu kuwa anazaidi ya miaka kumi hajaumwa ndo Mara...
  3. M

    Msaada wa dawa ya homa ya manjano

    Mdogo wangu wa miaka 14 alikuwa anajisikia vibaya siku mbili hizi sa Leo hajaenda shule nikamcheki usoni akawa wanjano kwenye ule weupe wa macho nikashtuka kikamkimbiza hospital kwa uchunguzi zaidi wakampima maralia hana wakampima nutra sound wakasema tumboni kupo poa. Mimi nikamwambia dk hii...
  4. M

    Kwa aliyetumia dawa ya netragen (ya vidonda vya tumbo) ya herboworx corporation limited je umepona?

    Mleta mada kama bado hujapona ni pm nakupa dawa ya asili usipopona wallah utakuwa umelogwa nimewasaidia wengi sana kupona vidonda vya tumbo
  5. M

    NAULIZA BEI YA BATI ZA RANGI KWA HAPA DODOMA

    Habarin za jumamos wakulungwa nikwamba nauliza bei ya bati za rangi shi ngap kwa sasa
  6. M

    Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Kumbuka ukoo wenu wote bila mwalimu mngekuwa kama ukoo wa kambale usiulize kwanin
  7. M

    Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Mzee kalio linaleta ashk flan hivi ya kuendeleza mchezo hata kama ulikuwa umefika kileleni ukiliona lilivyoiva unajikuta umezama tena halafu stail yetu pendwa ukiipenyeza nchi sita kwa nyuma utasikia pwa pwa pwa mkuu we acha tu
  8. M

    Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

    Msamehe tu lakini jombaa mapenzi hayana fomla unaweza kuwa upo na cash bado ukazinguliwa halafu boda boda akang'oa pisi Kali kiulain mwisho wa siku unamtaftia mabaunsa wampige....sisi mabaharia tunatumia akili sana kuwakata watoto wazuri mwamba namshauri akomae akaze one day tembo ataja lala...
  9. M

    Mwonekano wa nje wa Mwanamke hauna uhusiano na umbile lake la ndani

    Ndomana nasema hapo kadanganya mchana kweupe haina haja ya maelezo mengi in short kadanganya
  10. M

    Nimekuzimia wewe mrembo mwenye Avator ya miguu

    Jamaa umeua hasa akiwa mpiga maji usiwe bahili ajikadirie mwenyewe halafu muende uwanjani wallah utajua kuwa hawa viumbe wanapenda sana kupata mile anachotaka ili akupe kile unachostahili
  11. M

    Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Mimi huwa nawambia njoo geto utapewa zaid ya hiko akija analiwa anapewa guu la ng'ombe theni nampa mkono wa kwa heri
Back
Top Bottom