Recent content by malagira roman

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jaribuni kuwa waelewa jamani, G.P.A ya 3.5 ni ya wanaotaka kwenda vyuo vikuu

    vp kuhusu hz or average of B+ grade for teachers edn na 3.5 gpa ni ipi sahih kusoma degree?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Nimehama chuo na koz kutoka st joseph bse kwenda makumira baed na wakati huohuo nilikuwa nimepata mkopo. Je mkopo wangu ntaupata nikiwa chuo nilichohamia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Re:nacte wameshafungua dirisha dogo la uhamisho wa vyuo

    je kama umeshapata mkopo chuo husika kutoka bodi ya mkopo na unataka kuhama chuo,unahama na mkopo kwa koz utakayokuwa umechagua?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la confirmation TCU CAS

    Angalia profile yako ndg
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la confirmation TCU CAS

    Kwenye batch za chuo tena ya kwanza kabisa jina langu lipo. Vp sasa kuhusu kupata mkopo maana Heslb si huwa wanachukua majina tcu cas?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la confirmation TCU CAS

    Nashukuru kwa ushauri wako mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la confirmation TCU CAS

    Nilichaguliwa kupitia nacte kusoma degree na nikathibitishwa na chuo husika,sasa cha kushangaza napo angalia jina langu kupitia tcu results selection naambiwa bado nina provisional selection. Jamani tatizo ni nini? Msaada tafadhali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania NACTE mnatuchanganya

    lazima twende kk
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliopitia NACTE

    nilikuwa selected na nika be confirmed lakin profile imerudi kama mwanzo. nacte hawa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nacte jamani nacte

    Nilikuwa selected na nikathibitishwa na chuo husika lakini chakushangaza toka ijumaa profile yangu imerudi kama mwanzo yaan kuonyesha vyuo vyote nilivyochagua. Je,hapo ni nn tatizo wana jf???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni HELSB 2015/16

    Mkopo huo ni kwa first year au?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yashaanza kunoga NACTE!

    sasa hizo confirmation lini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    sasa tunafanyeje?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa NACTE

    tufanyeje ss hasa sis ambao profile zetu hazijachange?
Back
Top Bottom