Recent content by MAKWIZI

  1. M

    COASCO wameanza kuita kwa ajili ya interview

    kwa aliyewahi fanya interview ya hawa jamaa atusaidie kujua maswali wanayotoa mim pia nimeitwa!
  2. M

    Agizo la Kurudishwa Kazini Watumishi wa Serikali

    Habari za asbh wadau! Naomba mwenye kujua kuhusu taarifa hizi "Inasemekana eti watumishi wote wa serikali na mashirika ya serikali waliofukuzwa kwa utoro, ulevi na sababu zingine waliokuwa wamesaini mkataba wa ajira ya kudumu wanatakiwa kurejea kazini ndani ya wiki moja! Inasemekana agizo hilo...
  3. M

    Kuitwa kwenye usaili Sekretarieti ya Ajira, Oktoba 2015

    Jamani kwa aliye wahi fanya usaili wa utumishi kwa kada ya Afisa Usimamizi Fedha daraja la II tusaidie kujua maswali yanatoka vp?
  4. M

    Written Interview

    Jamani wana jamii tusaidien kujua angalau maswali yanakuja vp! maana kuna watu waliitwa kazini mwezi wa tano mwaka huu Afisa Usimamizi Fedha daraja II kama upo kwe jamvi hili tusaidie tafadhali!
Back
Top Bottom