Recent content by Makwaya Makwaya

  1. M

    Nahitaji bango la tangazo la biashara lenye 150cm kwa 80cm

    Tuwasiliane mimi ndio kazi yangu hiyo: 0712518240
  2. M

    Jinsi wanawake wanavyofanya wanaume dili, biashara hii imeanza kukomaa mjini

    Nawashauri hao kina dada waanzishe kiwanda cha kutengeneza lotion, malighafi sio shida. Tatizo ni jina la hiyo lotion sijui wataiitaje?
  3. M

    Mwalimu wa graphics na animation

    nafundisha graphics na animation: Programs: photoshop illustrator indesign animation maya after effects video editing final cut adobe premier nakufundisha kwa vitendo, pia uhakika wa ajira maana nakuajiri mwenyewe kwenye kampuni yangu ya matangazo na filamu, ( african creative ltd )...
  4. M

    Logo shilingi 10,000/= tu

    Mimi pia designer kaka, naanzia 300,000 kwa logo moja yenye package nzima: yaani logo,letter head,risiti,invoice, nk. Wewe 10,000! Dah mbona unajishushia sana kiongozi, chuo gani ulichosomea?
  5. M

    Nauza gari noah litiace t 284 chr

    Milioni 9.5 , Tuwasiliane 0712 518240
  6. M

    Nyumba inauzwa -milioni 35 dar es salaam

    Unaweza kutoa link google map?
Back
Top Bottom