Bahati mbaya hujatoa sababu ya kila mmoja alichoshindwa, matokeo yake post yako imekosa mvuto, maana msomaji mwenye akili haoni sababu za wao kushindwa kazi bali inaonekana ni majungu
Kutukana matusi mtandaoni kunaweza kukugharimu sana, kwani ni kosa kisheria, lakini pia unajishushia heshima, kwani wewe unaona uingiliaji wa mabalozi katika mambo ya ndani ni sahihi? Au kwavile kesi inamhusu Tundu Lisu tu na Chadema yake?
Ni dhana mufu na haina mashiko, Utawezaje kumwambia mtu akatae hisia kutoka nafsini mwake? Yanga na Simba mapenzi nayo yanajengwa kutoka nafsi mwake. Vyama vya Siasa sawa unaweza kubadili, ssbabu vinaambatana na maslahi ya kifedha . Lakini Yana Simba ni faraja ya nafsi tu.
Ni kichekesho, Mfuko wa kushoto wa suruali unaudai mfuko wa kulia wa suruali hiyo hiyo kwa kukaa na hela mwezi mmoja halafu iwe story ya kuwahadithia watu wenye akili? Je tutegemee Taasisi hizo kufikishana Mahakamani? Wandishi kuweni serious bhana🤣
U
Umefanya utafiti upi kuthibitisha hoja yako kwamba nguvu na ushawishi vimeongezeka? Je nguvu na ushawishi ulikuwa kiasi gani na sasa ni kiasi gani? Kwa vipimo vipi?
Kimsingi Chadema ndiyo kwaheri, ndiyo kinaenda kuungana na Nccr mageuzi, Cuf, labda Act inaweza kuchukua nafasi kwa muda. Lakini Chadema ni kwisha habari yao
Kwanza siyo Na. Feki, ondoa neno hilo, maana feki ni namba isiyotambuliwa na mamlaka husika. Sasa Namba unazoziona za magari hayo hata kama ni kumi zote zimesajiriwa na mamlaka na zinatambuliwa kwamba gari flani ye chesses Namba flani imepewa Na kadhaa kwa kazi Maalumu. Hizo ni Namba maalumu kwa...
Lisu ni shetani kabisa, Watanzania wazalendo hatumpendi kabisa tangu aanze kumchafua Magufuli kwa kumsingizia kwamba alimpiga risasi, sisi kanda ya ziwa tunamuona ni mbwa tu. Hata haya ya kukamatwa ni madogo tunaomba yampate maubwa zaidi ya haya
Hii taarifa ina mapungufu sana, Watanzania wote wamelipuka kwa shangwe maana yake nini? Ni Watanzania wapi hao? Ushahidi uko wapi wa shangwe hizo za mlipuko? Tusisambaze uongo usiosaidia na unaompunguzia heshima mwandishi mwenyewe kwa kukosa weledi na kuendekeza ushabiki na upofu wa kisiasa...
Tatizo liko kwako wewe katika kufikiri, ni wapi ulikuta kuna muongozo umeandikwa kwamba Jina hili ni la Jini, mwarabu, mzungu, mchina, giliki, n.k.? Si ni uelewa wako uliokaririshwa na Dunia uliyokulia. Ndiyo maana hakuna sheria inayokataza mtu kujiita kuitwa jina lolote unaloona wewe kuwa...
Mbowe hana umaarufu wowote ni gaidi tu hatabkjasma kalamba miguu ya pilato na kurudi uraiani kuhatarisha Taifa, atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.