Wapo watu wametangulia mbele za haki nawafahamu nao baada ya kusoma sana wakamdhihaki Mwenyezi MUNGU kuwa hayupo lakini baada ya kupata mapigo ya ugonjwa siku za mwisho walikiri na kuzikwa katika Imani. Nyinyi wapinga KRISTO na MUNGU humu narudia tena kusema, siku yenu itafika ya kupiga goti na...
Oh oh MUNGU ni mmoja tu huko kwingine ukishamalizia na mungu ng,ombe huyo si MUNGU ni mmoja wa miungu. nikuulize wewe toka unapata akili ya kujitambua uliamini kuwa MUNGU hayupo au ni baada ya kusoma maandishi fulani.
Haha watu wasioamini uwepo wa MUNGU wamepata pigo leo wana hasira kweli kweli. Kwake kila goti litapigwa, ikiwemo la ninyi wapinga uwepo wa Mwenyezi Mungu.
Habari za majukumu wakuu, kwa wale wataalam wa afya. Je ni kawaida kwa mwanamke kuwa na damu inayoteleza wakati anapoanza siku zake ( menstruation cyle)? Tafadhali naomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.