https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=8988730....
Vijana wa ccm wanashindwa kutafakari sawa....wanatetea serikali mbili bila hoja za Msingi...ebu kweli kuna wazalendo ndani ya ccm na wanaujua historia ya nchi hii zaidi ya akina Warioba,Salim, Butiku, Kabudi, Baregu n.k? Let be reasonable!!!