Recent content by Makumbele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria unaoweka msingi imara wa ulinzi wa taasisi huru za kikatiba nchini, ikisisitiza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ana ulinzi kamili wa ajira yake na hawezi kuondolewa madarakani kwa kutumia sheria za kawaida za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sativa ashinda rufaa dhidi ya DPP, amri ya kumkamata na kumrejesha nchini (Extradition) yabutuliwa na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam (mbele ya Mheshimiwa Jaji D.D. Ndumbaro), imetoa hukumu tarehe 29 Septemba 2026 katika Rufaa ya Jinai Namba 000029293 ya mwaka 2025. Sativa alikata rufaa kupinga uamuzi, mwenendo, na amri za Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zilizotolewa tarehe 28...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Agosti 30: Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (Enforced Disappearances)

    Leo, tarehe 30 Agosti, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (International Day of Victims of Enforced Disappearances). Kwa mujibu wa taarifa kutoka Umoja wa Mataifa (UN), mwaka huu wa 2026 unatimiza miaka 20 tangu kupitishwa kwa Mkataba wa Kimataifa wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli umu JF kuna wateja wakutoa 100m+,500m+,1b+,5b+ kununua magari na majumba?

    Tupo, hata ikiwa 750M+ mradi iwe inakidhi vigezo. Shida ni kuwa vitu vingine vinakuwa elevated rates kiasi inabidi uwe makini sana na hivyo kulazimika kuhoji sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Project? Wakati MwanaHALISI likifungiwa, gazeti la Mchange laendelea kumsakama ‘Yuda’. Haligusiki

    Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa. Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’ la Awamu ya 5. Watu wa Mfumo wamekosa ubunifu kiasi hiki? Hii ndo thinktank yao? UONGO: Malecela...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafikiria kuuza Eurobond ili kusaidia kukidhi mahitaji ya kukopa dola bilioni 1

    Nimefanya analysis hapa: Tanzania's Debut Eurobond: Cheap Applause, Expensive Money? Kimsingi, kwenye makaratasi (na kwa machawa wasiotafakari), inaonekana kama jambo la kufurahia, kwamba hatimaye Tanzania inaingia kwenye ligi kubwa ya masoko ya mitaji ya kimataifa. Lakini nimekaa nikitafakari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Debut Eurobond: Cheap Applause, Expensive Money?

    Yesterday in London, our Finance Minister Khamis Mussa Omar told investors that a Eurobond is "an option on the table" to help cover Tanzania's external borrowing needs of around $1 billion. A government advisor put the maximum size at $500 million. On paper, it sounds like graduation day...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Haya ndo makosa mnayoyafanya. Hauwezi kutumia kisingizio cha 'Nchi Huru' ukawa unaua raia ovyo, unawateka ovyo, wanaokukosoa unawaita magaidi au kuamua kuwapoteza (kuwaua) ili kuwaziba midomo. Acheni kutumia visingizio cheap kwenye maisha ya watu!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Kuna sehemu nimeandika kuwa wamesema AACHILIWE?
Back
Top Bottom