Recent content by makufuli

  1. makufuli

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutembelea mbuga ya Serengeti

    Habari wakuu,nahitaji kufahamu taratibu kwa maana ya gharama za malazi,chakula na kutembezwa mbugani katika hifadhi yetu ya Serengeti national park kwa wale ambao wamefanikiwa kutembelea,ili nifanye budget ya mimi pia kutembelea. Asante
  2. makufuli

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Zanzibar Kisingizio tu kwenye kashfa ya TZS 1.5T

    Kachama kenye mbunge mmoja wanapambana na hali yao yeye na mwenezi wake
  3. makufuli

    JamiiForums Tanzania Tanzania Online Content Regulations: Ni kosa kisheria simu, computer kutokuwa na password. Kuendesha Blog lazima ulipie!

    Nadhani itakua vyema ili kujisajili ni lazima kutumia kitambulisho cha utaifa,itapendeza sana.....Yajayo yanafurahisha
  4. makufuli

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna mtu wa kukidhibiti Chama cha Wanasheria Tanganyika( TLS)

    Jiwe baba yako
  5. makufuli

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

    Ila Yule mzee wa kujinyea ndio anafiti nafasi hiyo?
  6. makufuli

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

    Ok,we will bring BECK!!!!
  7. makufuli

    JamiiForums Tanzania Professa Kabudi ni Msomi wa ajabu sana na kwa kinamna anashusha hadhi ya taaluma yake

    Kwani yule prof Safari wa cdm huwa akili zake anaziacha nyumbani kwa mbowe?
Back
Top Bottom