Recent content by maksheke

  1. M

    Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
  2. M

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Msaada mkuu, Iko wapi kwa mtu anaetokea ubungo
  3. M

    Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

    Ndugu wameshapatikana, wanasafirisha kesho kwenda singida......namfahamu ndugu yake nipo nae ofisi moja. Inauma sana
Back
Top Bottom