Recent content by maksaidy

  1. maksaidy

    Msaada biashara ya Stationary na fanyakazi wake

    Inakataa kutuma ujumbe pm labda unianze mkuu
  2. maksaidy

    Msaada biashara ya Stationary na fanyakazi wake

    Basi kafanye wewe uliye muaminifu 😎 mana ya kazi ikitangazwa kila mtu anahakii ya kuomba nafasi ila ulivyo mjuaji sasa 😁 au mwenzangu umejiajili nini?
  3. maksaidy

    Msaada biashara ya Stationary na fanyakazi wake

    Nahitaji hiyo kazi kiongozi
  4. maksaidy

    Ninahitaji chumba cha kupanga

    nashukuru sana
  5. maksaidy

    Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
Back
Top Bottom