Vijana wawili wa kibelgiji wamekamatwa wakiwa wanasafiria siafu ambapo siafu hao walikuwa wamehifadhiwa kwenye mabomba ya sindano sasa inawezekana ni biashara lakini biashara gani hio wakati sisi wakulima kila siku zinaingia kwenye nguo zetu na kutushambulia mpaka sehemu za siri hii inaonesha...
Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.