Recent content by makong

  1. M

    Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Majina yatatoka hivi karibuni na watakaochaguliwa wengi ni waliofaulu masomo ya sayansi, hisabati na english. Tulioomba kusoma dip ya miaka mitatu tujiandae na serikali itatupatia mkopo wale tutakasoma masomo ya sayanai, math na english.
  2. M

    Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Majina ya waliochaguliwa yatatoka muda c mrefu na tujiandae kuanza masomo majina yakitoka. Subira yavuta heri. Mie nasubiri na hasa kozi mpya ya dip ya miaka mitatu ya masomo ya sayansi, hisabati na English.
  3. M

    Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Tovuti ya wizara ina matatizo ya kiufundi na yanafanyiwa kazi. Majina ya watakaochaguliwa yatatangazwa kwa umma muda si mrefu kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Tujiandae tulio na sifa hasa tuliofaulu masomo ya sayansi, number na English
  4. M

    Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Majina ya waliochaguliwa yatatoka muda c mrefu na tujiandae kuanza masomo majina yakitoka. Subira yavuta heri. Mie nasubiri na hasa kozi mpya ya dip ya miaka mitatu ya masomo ya sayansi, hisabati na English.
  5. M

    Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Ajira kwenye shule yake imekaaje. Asilimia ngapi ya watumishi wanatoka Kagera. Akipewa nchi itakuwaje. Jiulizeni kwanza
  6. M

    How FBME Bank Has Been Used to Facilitate or Promote Money Laundering in Tanzania...

    Nahamia benki za kitanzania. Tupende chetu jamani
  7. M

    PICHA; M4C- OPD, kutoka Polisi Iringa hadi kuitikisa Pwani na kujionea 'maajabu' ya elimu Chalinze

    Huu ni uzembe wa viongozi wa Halmashauri husika na siyo wa viongozi wa kitaifa. Hata hivyo hali hii inaonyesha viongozi wetu wa kitaifa hawana upendeleo wa kufuata maeneo waliyotoka, mnataka wawe kama kina fulani, kila kitu kwanza kwao, tutafika? Viongozi wa Vijiji, kata, tarafa, wilaya hadi...
  8. M

    Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Hizo ni baadhi ya kero za Muungano, ufumbuzi wake ni Serikali tatu
Back
Top Bottom