Recent content by makondeko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Any hospital (not dispensary or health center)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kacheck brucella,syphilis au TB
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sijaona uume wa mtoto wangu (8) ukisimama asubuhi kwa zaidi ya miaka 3, ni hali ya kawaida au atakuwa na tatizo?

    Mpe zinc containing foods au zinc supplements (this is easier and quicker, paed zinc zile za 20mg once daily) utarudi baadae kuleta mrejesho.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

    pole mkuu kuhusu bima kwa kweli ninavofahamu huduma zinatofautiana na aina ya bima uliyokata.MFANO bima ya laki 1 sidhan kama itacover gharama za surgery ya milioni 8 but all in all itapunguza gharama.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

    kwanza pole pili hujaeleza kwa nn zoez la mionzi lilishindikana tatu maamuzi ya nn cha kumfanyia yanategemea na clinical and histological staging.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Health consultation for free from dr. Sadru

    Nimeambiwa naumwa marchiafava bignami mkuu. Ndio nn?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Okay mpk hapo nahisi ana uterine fibroid. Amepiga ultra sound ya uzazi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Dah sasa hapo itakua shida mkuu ngoja atakae fanikiwa kujua kwa kimombo tutachangia au pengine ungesema shida yake ilomfanya muende Hosp ilikua ni nn
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Tatizo hua sielewi magonjwa mengi kwa majina ya kiswahili waeza nieleza chango ni nn ili nikusaidie
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Au pengine vile ni msaada u just have to be patient with them aisee ila inakera coz nadhani kuna somo limetolewa humus namna ya kujieleza
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Tunakazi maana kitu cha dakika 5 mtu utachkua masaaa ma3
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Uchafu ukoje?unaharufu?anawashwa?ana maumivu chini ya kitovu? Anatoka damu ukeni? Ana umri gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

    Kubleed maanake ni kutoka damu sasa hebu eleza zinatoka wapi? Anapata maumivu? Mzunguko wake wa hedhi ukoje? Anatoka uchafu ukeni? Kuna sehemu nyingine mwilini anatoka damu?
Back
Top Bottom