Hivi unaitwa Juliana Shonza au Shenzi???
we binti wewe unataka nini Chadema???
kwanini tu usirudi kwenu ukawe hata ngariba maana akili yako imejaa funza watupu kwa kweli, yaani we unataka kuwa Mwenyekiti wa Bavicha alafu unamtukana Katibu mkuu wako???? kweli we mjinga sana, nimeseoma majibu...
Mwampamba, kusema kweli kama kuwa watu ambao nina wasiwasi na uwezo wao wa kufikiria basi we ni miongoni mwao, wewe umemtuhumu Dr Slaa, leo unaandika upuuzi wako hapa unasema ni rufaa alafu unamtukana tena huyo huyo Dr Slaa, kweli we mbwiga wa mwisho duniani!!! rudi kwenu na kundi lako la...
Wanabodi
naomba niwaletee habari ya kada wa Chadema ndugu Magoma, Magoma ndio aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya arusha mjini hadi mwaka jana ambapo alijiuzulu kupinga madiwani wa chadema kufikia muafaka feki kama ambavyo anajisifu kwenye majukwaa ya kisiasa, kwamba amejiuzulu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.