Recent content by Makirikiri

  1. M

    TANESCO wakubali kubomoa jengo lao, waahidi upatikanaji wa umeme wakati wa kutekeleza agizo hilo

    Wewe kakundu haufikiri sawa sawa. Hii flyover kwani iliplaniwa kujengwa awamu ya tano? Hao wataalam hawakuwepo enzi za JK? Mbona JK alizuia lisivunjwe... Tatizo lako kubwa ni exposure...hujatembea ukaona flyovers zimejengwa kukwepa nyumba na kila kitu kikawa sawa. Acha ushabiki wakijinga
  2. M

    Lowassa anahudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA kama nani?

    Kaingia kama Rais wa JMT kupitia CDM
  3. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Nashangaa watu wanasema ni mtendaji mzuri...kwa lipi hasa? Eti Barabara? Zipi.... Morogoro Road(BRT)??? Nyembamba gari kubwa mbili haziwezi kwenda pamoja? Wanaomshabikia magufuli ni malimbukeni ambao hawajui nchi nyingine wana barabara za aina gani...mtu anatoka mwenge, mbagala, mbeya...
  4. M

    Prof Jay na Vincent Nyerere kutikisa Musoma Mjini Jumapili 05 Julai, 2015

    Wee Rich Pal ni zuzu kweli kweli: unasema CDM ina miaka 23 inapanga ofisi? Ccm wamejenga ofisi zipi?kwakutumia hela za nani? Viwanja kama CCM kirumba etc mmevitoa wapi? Tueleze. Miaka zaidi ya 50 lakini watanzania hali yao ikoje chini ya utawala wenu... Laana ina kutafuna wewe...----...
  5. M

    Prof Jay na Vincent Nyerere kutikisa Musoma Mjini Jumapili 05 Julai, 2015

    Rich Pol Nahisi ukichaa unakusumbua hadi akili zako zimeganda. Dunia nzima hakuna wezi kama masisiemuu....tena mnawaibia wananchi masikini wasio na chochote...wanakufa kwa kukosa dawa hospitali, hawapati Maji, hawajui watapata wapi mlo wa siku lakini bado mnawaibia??? Hii ni laana kuu na...
  6. M

    CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Kuna watu wanaongea kama vile wanajisaidia.... Endelea kushabikia tu coz hizo bilioni 600 labda baba yako naye kapata
  7. M

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Watu ni mazezeta kweli wakufikiri....inamaana magari ya mwendo kasi yanahitajika moro road tu. Mbagala hakuna foleni? Gongo la mboto je? Tegeta posta? Toeni hoja zenu kwa kuwaza hali halisi...acheni kuwaza kiitikadi. Ntemi ameelezea vizuri sana hapo mwanzo. Kuwa feeder roads zilitakiwa ziwe...
  8. M

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Ndugu yangu Ntemi masikitiko uliyo nayo nadhani tupo wengi kama wewe. Bila kumungunya maneno huu ni uchafu...ni njia tu yakufanyia ufisadi(wamezoea ndugu yangu upofu umewaingia). Nimefurahi ulivyochambua... Mbadala wa huo uchafu wao...very simple but meaningful...nakushukuru sana. Hawa...
  9. M

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Naona unahitaji sindano homa ishuke. Ccm ni janga la kitaifa
  10. M

    Serikali ya CCM,MSIWADHARAU WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

    Naomba usiwadanganye hao vijana. Mimi nilisoma enzi zako na kupata 2500 ila thamani yake ilikua kubwa kuliko 7500 ya sasa. Purchasing power ya shs imeshuka kwa 29% from 2010 to 2013. Zamani madini yalikua hayajachimbwa wala gass, kwa sasa vyote hivi vinafanyika. JK anaenda nje 30% ya muda wake...
  11. M

    CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    Hii mitakataka ya CCM sijui ikoje....inawaza kinyume...badala yakuvua magamba na kuhakikisha ubakaji, madawa yakulevya yanakomeshwa, tembo hawauwawi, mnaishia kuongelea uchaguzi CDM. Eti wanachama wanataka uchaguzi...we ni mwanachama hadi uisemee CDM?Pumbafu kabisa... Maandiko yenu ya kijinga...
  12. M

    Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    Kibonde vuvuzela tu, mbona hilo liko wazi sana. Watanzania wanamchoraga tu. Siku hizi hata u-mc kazi hapati tena Ngoja na siku hicho kibarua clouds kitaisha siku moja sijui utaenda redio msoga! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  13. M

    CHADEMA Arusha kuweni makini na haya

    Maendeleo gani yameletwa na ccm. Wee ni ushamba tu unakusumbua. Tembea nchi za watu uone kinachoitwa maendeleo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. M

    Dk Slaa ang’ara urais; NI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA.

    EL yupo kapata 3% kati ya walengwa wa ccm.. soma mwananchi uk.wa 4. EL kabwagwa na Pinda, magufuli,membe,na sita
Back
Top Bottom