Wakuu Habari!!
Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja hapa kuuliza jambo gani ninaweza kufanya ili turudi kama awali maana naona kama Ana dharau sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.