Recent content by makihiyo931983

  1. M

    Baraka za Lowassa zaipa ushindi Taifa stars

    Kweli Edward Ngoyai Lowassa, ana Vijana wanaojua kuweka mambo sawa. Hongera Afande Fojuman.
  2. M

    Mpenzi wangu anasema hawezi kuolewa bila harusi

    Olaph.uk, hongera kwa hatua ya kimaamuzi uliyofikia. Hali kama hiyo imenikuta hata na me, kama umejiridhisha na hali iliyopo, kufunga ndoa ya kimila, kidini au kiserikali ndio jambo la kiungwana. Sherehe baada ya ndoa (harusi) hizo ni mbwembwe tu. Isitoshe kufanya harusi ni gharama sana.
  3. M

    CCM Ni Kama Submarine(Nyambizi).Inazama Inaibuka Na Kamwe Haiogopi Mafuriko

    Kwa hili la wananchi wengi walioonekana kumsindikiza Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu halinipi tafsiri ya kuwa anakubalika na wanamuunga mkono kwa dhati ya mioyo yao na ataibuka mshindi Oktoba, 2015. Ninachokijua ni kuwa jamaa anawashauri wazuri katika kitengo chake cha uhamasishaji, hili...
  4. M

    Makada wa CCM wavamia ofisi za CCM Sumbawanga na kutupa viti nje!!

    Kama ni katika Jimbo la Uchaguzi la Sumbawanga Mjini yule mgombea anayeitwa Fortunatus H. Fwema atawasaidia sana wananchi wa Sumbawanga. Nilifanyanaye kazi katika Halmashauri akiwa ni Afisa Utumishi Mwandamizi, ni mtu mpole na mwenye hofu ya Mungu. Anauwezo mkubwa sana kichwani, ni mtu anayejua...
  5. M

    Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    Hebu tulitazame hili vizuri, mtu akishindwa kwenye kura za maoni ndani ya chama chake ndio ang'atuke?. Ling'ekuwa jambo la Afya katika siasa endapo tu mtu atashinda kwenye kura ya maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi au asiwe ameshiriki kwenye mchakato wa kura za maoni kisha ang'atuke. Tafadhali...
  6. M

    Mbowe: Tumuombee Dr. Slaa kwa Mungu ampe moyo wa ujasiri!

    Wapendwa, kwa wale wote wapenda maendeleo ambao huumizwa kwa kutokutendewa haki. Naomba kwa kushirikia na Dr. Peter Willbroad Hhando Slaa kushiriki sala hii kwa kuirudia mara tatu. Tunakimbilia, ulinzi wako.............................. Hakika Mungu ajuaye ya sirini atakupa faraja na matumaini...
  7. M

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hongera sana Mnyika, ila kazi ndio imeanza. Sensor, tatizo sio shule ila umakini unaendelea kupungua kwa baadhi ya wananchi wa Tanzania siku zinavyozidi kusonga mbele.
  8. M

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Hongera sana Liziboni kwa kutujuza, ila ukweli ni kwamba endapo Dr. Willbroad Peter Slaa ataondoka mvuto kwa cdm utapungua. Ee Mwenyenzi Mungu tuepushie hili balaa. Amen!!!
Back
Top Bottom