Habari ya new York times sii muhimu sana na ukiandika sana haitusaidii pia, jibu swali moja tu UCHAGUZI TZ ULIKUWA HURU? JIBU ndio au hapana. Mpaka new York times wakuambie we huna akili!!!!!
Kama huelewi kaa kimya. Lissu alielezwa ipasavyo kupaki magari yote ya msafara. Tatizo waliosema kivuko kibovu hawakuwashrikisha wale waongozaji ambao waliamini ni kibovu kweli ndio maana wakayaruhusu magari kupaki Kwa siku hiyo kwani hakuna kivuko. Mungu kawaumbua. Lissu akienda ukerewe kivuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.