Recent content by Makene

  1. Makene

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Eti eeh!
  2. Makene

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Adobe acrobat
  3. Makene

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Wale Japan 1 tu wanatoroka
  4. Makene

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hoja ya msingi ya kambi ya upinzani bungeni kutoka nje imeonekana

    huu uandishi ni wa kitoto, peleka shule ya msingi mkuu.
  5. Makene

    JamiiForums Tanzania Hili halijasemwa sana na huyu ndio Magufuli

    Orodhesha hizo taasisi hapa tuone ukweli
  6. Makene

    JamiiForums Tanzania KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Kama wizara moja inapewa zaidi, je Ni wizara ipi haikuhitaji pesa ilizopangiwa? Ndio kinacho maanishwa. Na kama serikari ina pesa nyingi hivyo kwa nini ilielie kwa ajili ya misaada ya wahisani. Na kama hali ya uchumi ni mzuri Mbona hatuoni nafuu ya Maisha! Tafakari unavyoishi, acha Tu kufanya...
  7. Makene

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Hawa Ni vichwa kweli kweli. Hilo ndilo bunge la Tanzania ya viwanda.
  8. Makene

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    kufika 2020 sukari kilo itakuwa Tshs 150/- kwa wana ccm, ila ukawa watainunua hata kwa 200,000/- kilo. Hongera NS
  9. Makene

    JamiiForums Tanzania Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    come again, and say it louder to feel the impact.
  10. Makene

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

    sukari je na vifaa vya ujenzi bei zake zinakuwa hazikui, hata huku umeme sijauona ila nguzo tu.
  11. Makene

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    kwa nini hajawekwa ndani ili apelekwe mahakamani, ushahidi si umekamilika? Au Yuko nje kwa dhamana, PIA aliyemuuzia hiyo pombe anyanganywe leseni na asifanye biashara yoyote hapa nchini.
  12. Makene

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na vitisho hivi dhidi ya wataalam hasa madaktari na manesi

    Mkuu mbona hili halitokei kwenye hospitali binafsi au huko hakuna wataalam? vitu vya bure na vitu vya kugharimiwa Ni tofauti. dawa za serikari hata wagonjwa huzitupa. Je ukilipa matibabu utatupa Dawa.
  13. Makene

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Magufuli maji mazito au mgomo baridi?

    Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
  14. Makene

    JamiiForums Tanzania JWTZ Yatoa ufafanuzi juu ya Mavazi ya Kijeshi aliyovaa Rais huko Arusha

    akienda kuogelea anavaa nguo za kuogelea pia
  15. Makene

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apanga kulitikisa Bunge na Taifa

    hapo umegonga juu ya msumari kabisa
Back
Top Bottom