Recent content by makayamwene

  1. M

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Huyu mtoto atakuwa ni 'CD'
  2. M

    Elimu ya Nape Nnauye

    Nape ni wa kupuuza tu,tusipoteze muda mwingi kumjadili kihiyo na ka-digree kake ka India baada ya kufeli sekondari!
  3. M

    CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Nape na mwenzake shigela wanaropoka ropoka sana,ni watu wasiotafakari kwa umakini kabla ya kutoa matamko..hili liko wazi wakulaumu si chama ni polisi moja kwa moja.Nape jifunze kutumia akili,hicho kiti maalumu unachotafuta huwezi kukipata kwa staili hiyo..
  4. M

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    :hat:Hili si la wabunge wa upinzani tu mkuu,ni suala linalotuumiza watanzania wote hasa tunaowafanya kazi za mikataba ya muda mfupi.Tunatakiwa tulipinge kwa pamoja wote.
Back
Top Bottom