Dah Mimi wametaka bei hiyo. Hata nilipojaribu kumuuliza mtu mwingine pale pale halmashauri bila ya wao kujua
Nikaambiwa mill2,yote ni Yale Yale. Kama unajua gharama ya serikali nikadirie haziwezi kuzidi kiasi gani
Habari za saa hizi, wadau. Nimepata tatizo, nikasema nililete hapa JF kwa wadau ili nipate suluhu. Maana JF ni uwanja mpana, na kwangu mimi imeshanitatulia mambo mengi sana ambayo hata sikuomba ushauri.
Mimi nilinunua kiwanja. Kiwanja hicho hakikuwa na hati, lakini tayari kishapimwa. Process...
Hivi ushawah kujiuliza mtu anaua,anadhulumu halaf akakimbilia nchi ya mbali wala asikamatwe,na akaishi maisha ya raha mpaka anakufa.Hv unadhan hakuna malipo dhidi ya matendo yake mabaya aliyoyatenda ?
Hao wanaolawiti laiti ungejua adhabu yao iliyoandaliwa Kwa ajili yao ungewaonea huruma.
Dini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.