nape,hauna haja ya kujitetea au kutetea mswaada huu kiajabuajabu namna hii.Haya majibu yako unaweza labda waelezea wenzio wa lumumba,ila ss tushawajua plan zenu(serkali ya awamu ya 5) mnaleta UDIKTETA taratibutaratibu.Kwa mfano si wewe uliyefungia magazeti kadhaa na vituo vya radio!? Tena juzi...
We pumba vu kweli,,sasa Chadema inakuhusu nn kama wao wamevaa mkenge,? halafu tatizo msilolijua ni moja,kuanguka kwa ccm ni maandiko,kwahiyo haya yote yanayotokea mnajidanganya kipumbavu tu
Upu mbavu mtupuu,,,KUNA MTU AMEWAHI KUTAJA WATU WAKUBWA WANAOHUSIKA NA UFISADI KAMA LISSU AU MNYIKA? Mbona hawajauawa? hii inaonesha ni kiasi gani wanahitaji elimu watu wa namna hii!!! Watu wamewahi kumtaja hadi rais aliyeko madalakani!! Yaan kuna mambo mengine yanakera
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.