Recent content by Makao ya milele

  1. M

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Yaani mkuu Hawa jamaa sijui akili zao zipoje? Wanajifariji ujinga na ajabu hadi mishipa inawasimama Hulu wakijua kabisa wadangaya nafsi zao😂
  2. M

    Kichapo heavy kwa Israel kinatarajiwa usiku huu

    We jamaa, kwanza ni liongo liongo sana, unatunga vijihabari vya kitapele tu! Wenzako wanakunywa huko Irani, unaleta vijihabari vya hovyo hovyo! Hivo ukiwa mvaa kobazi no lazima uwe liongo liongo? Mtu yeyeto Hulu jamvini akiziamini taarifa zako anakuwa mjinga kuliko wewe mwenyewe. Unarekodi...
  3. M

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Mawakili wa nini wakati kura unabaki nayo mwenyeww mkuu?😂 Nakusalimia kwa jina la NRNE
  4. M

    Lema, Heche, Msigwa, mliwaandaa nani na nani? Bora Lissu ana Sarungi, Magoti na Mwabukusi

    Kwako Msigwa haikuwa sawa kufia kwenye uenyekiti wa kanda bali kwa Mbowe ni sawa kufia kwenye uenyekiti taifa? Team Mbowe mmevurugwa vibaya sana aisee. EtiIi?Hufi leo? Siyo kweli, kwa kuchanganyikiwa huko hakiiii utakufa leo 😂
  5. M

    Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

    Mnazidi kujianika mlivyo matapeli ya kisiasa, Lissu ametusaidia kuwatambua. Ghafla Sa100 ni kipenzi chenu daah!!
Back
Top Bottom